Tazama magoli yote matano na penati aliyokosa Alikiba katika mchezo wa hisani, Team FEIBUI ikiitandika Team SAMAKIBA mabao 3-2 kwenye Dimba la Amaan Complex, Zanzibar.
Magoli ya FEIBUI (Fesal Salum Feitoto na Abdulaziz Makame) yamefungwa na Feisal Salum, Ibrahim Ahmada Hilika, na Dismas Novatus huku magoli ya SAMAKIBA (Mbwana Samatta na Alikiba) yakifungwa na Kelvin John ‘Mbappe’ na Mbwana Samatta.
Dakika ya 24, Team SAMAKIBA walipata penati lakini Alikiba alikosa….
32 Comments
Leo mm wa Kwanzaa nipeni maua yangu
Team fei
Mnazingua, Hamuonyeshi Vizurii
Tonombee Mukoko
Mbona kama nimemuon mukoko tonombe jmn ila kamerazenu zimezingua😢
Buruuudani safi sana
Mukoko TEACHER
Namuona hapo MUKOKO TONOMBE
Hivi huyu ali kiba mnasemaga ni mchezaji😂😂😂😂😂😂
https://youtu.be/sAisLxaYEb4?si=V0Jdl3tOdgjj2Iss
Mchezo ilikuwa wa kistarabu sana, hongera waandaaji ❤
Mukoko😮😮😮😮😮
kba kakznguwa bhn
huyu kelvin john ni yupi ?
What a match 🙌
😅😅😅😅 kibamiaaaa
Mziki hajui hata mpira hajui😂😂😂
Samakiba Foundation
KingKiba aache ubishoo umetuangusha 😢
Bola hata ningedaka mm kuliko huyo juma kaseja
Ticha tomombe au macho yng
Dah fei straika
Hongereni kwa wandaaaji mchezo mzuri Sanaa👏👏👏👏
Alikiba anatumia left kumbee
😂😂ila kibaka kauza gemu
Mokok
mtangazaji ni🔥💯
Kiba 😂
Kiba alipokosa Penalty Fei na Nova walivuogeuka na kucheka 😂
Kwaio kipindi cha kwanza cup10 Kiba Cha 2 ni Samatta
Sauti ya mtangazaji kama charles Hillary
Mpila umeisha sijamuona alikiba akishika mpila vizuli 😂😂😂